| Mdau wa michezo nchini Tanzania Juma Simba (katibu wa siasa itikadi na uenezi CCM mkoa wa Dar salaam) akifafanua jambo katika Hospitali ya michezo-Spoti Kizaazaa |
| Kushoto ni Rajab Marijani Program Manager wa Spoti Kizaazaa Juma Simba na Haika Mrema kutoka Right Click Production katika maandalizi kuanza kurekodi Kizaazaa,Tcc Club Chang'ombe. |
| Kutoka kushoto ni Mdau wa michezo nchini ABdulrahman Kipenga, na wapili kutoka kulia ni Keneth Mwaisabula Kocha wa kandanda nchini. |
| Wadau wa michezo kutoka sehemu mbalimbali walikuwepo |
| Mwanadada Aliyekuwa mchezaji mahiri wa netball |
| Juma Simba Mdau wa Michezo nchini akifurahi jambo wakati Cliford Mario Ndimbo kulia akiingia Tayari kuungana na wanakizaazaa katika kutoa yaliyo moyoni mwao. |
| Mwl. Mkuu wa Twiga Secondary School iliyopo Tegeta wazo Hill Zainab Mbiro ni Mdau na mwanaharakati katika kuhakikisha michezo nchini inafanya vizuri naye alikuwepo. |
| Keneth Mwaisabula Kocha wa kandanda nchini akielezwa jambo na mwana Spoti kizaazaaa(hayupo pichani) |
| wadau wa michezo nchini wakiwa katika Spoti kizaazaa-Tcc Club Chang'ombe wakati |
| Iche-"Tutaonana wiki ijayo" Mdau- "Sawa kaka" |
| Leakey Vangllisasi nae alikuwepo. |
| Wadau wa Spoti kizaazaa ( Hospitali ya Michezo nchini ) wakipata picha ya pamoja kutoka katika kamera ya Image Profression- iP |
| Haika Mrema kutoka Right Click Production akiwa kazini |
| kushoto iP soldier Dimo Debwe pamoja na Cliford Mario Ndimbo Mtangazaji wa Spoti kizaazaa ( Hospitali ya Michezo ) katika picha ya pamoja baada ya kazi. |
| "Tu-Photoe" "ok, jipangeni" Kabaaaang! |
| Kabaaaang! |
| Mwanadada mpiga picha jongevu kutoka Right Click Production akiwa na Abdulrahman Kipenga Mdau wa michezo nchini Tanzania. |
| Cliford Mario Ndimbo |