Sunday, August 21, 2011

MADA: MIAKA 50 YA UHURU TANZANIA IKO WAPI KI MICHEZO?

Mdau wa michezo nchini Tanzania Juma Simba (katibu wa siasa itikadi na uenezi CCM mkoa wa Dar salaam) akifafanua jambo katika Hospitali ya michezo-Spoti Kizaazaa

Kushoto ni Rajab Marijani Program Manager wa Spoti Kizaazaa  Juma Simba na Haika Mrema kutoka Right Click Production katika maandalizi kuanza kurekodi Kizaazaa,Tcc Club Chang'ombe.

Kutoka kushoto ni Mdau wa michezo nchini ABdulrahman Kipenga, na wapili kutoka kulia ni Keneth Mwaisabula Kocha wa kandanda nchini.

Wadau wa michezo kutoka sehemu mbalimbali walikuwepo

Mwanadada Aliyekuwa mchezaji mahiri wa netball 

Juma Simba Mdau wa Michezo nchini akifurahi jambo wakati Cliford Mario Ndimbo kulia akiingia Tayari kuungana na wanakizaazaa katika kutoa yaliyo moyoni mwao.

Mwl. Mkuu wa Twiga Secondary School  iliyopo Tegeta wazo Hill Zainab Mbiro ni Mdau na mwanaharakati katika kuhakikisha michezo nchini inafanya vizuri naye alikuwepo.

Keneth Mwaisabula Kocha wa kandanda nchini akielezwa jambo na mwana Spoti kizaazaaa(hayupo pichani)

wadau wa michezo nchini wakiwa katika Spoti kizaazaa-Tcc Club Chang'ombe wakati

Iche-"Tutaonana wiki ijayo"
Mdau- "Sawa kaka"

Leakey Vangllisasi nae alikuwepo.

Wadau wa Spoti kizaazaa ( Hospitali ya Michezo nchini ) wakipata picha ya pamoja kutoka katika kamera ya Image Profression- iP

Haika Mrema kutoka Right Click Production akiwa kazini

kushoto iP soldier Dimo Debwe pamoja na Cliford Mario Ndimbo Mtangazaji wa Spoti kizaazaa ( Hospitali ya Michezo ) katika picha ya pamoja baada ya kazi.

"Tu-Photoe"
"ok, jipangeni"
Kabaaaang!


Kabaaaang!

Mwanadada mpiga picha jongevu kutoka Right Click Production akiwa na Abdulrahman Kipenga Mdau wa michezo nchini Tanzania.
Cliford Mario Ndimbo

Monday, August 1, 2011

PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA SPOTI KIZAAZAA jul 31 2011 LAMADA HOTEL

Wadau wa Hospitali ya Michezo nchini Tanzania(Spoti kizaazaa) wakijadili jambo kabla ya kuingia mzigoni

kushoto Selemani Methew katikati Fredrik Mwakalebela na Marijani